Ufafanuzi wa Kula mtu kivuli katika Kiswahili

Kula mtu kivuli

msemo

  • 1

    fanyia mtu mambo ya kumdhuru na kumwendea kinyume na hali mbele ya macho yake unamwonyesha kuwa mwema wake.