Ufafanuzi msingi wa kulau katika Kiswahili

: kulau1kulau2

kulau1

kitenzi sielekezi

  • 1

    ng’ang’ania jambo kwa nguvu.

Matamshi

kulau

/kulawu/

Ufafanuzi msingi wa kulau katika Kiswahili

: kulau1kulau2

kulau2

kitenzi sielekezi

  • 1

    (kwa punda au farasi) kataa kwenda kwa sababu ya kulemewa na mizigo mingi.

Matamshi

kulau

/kulawu/