Ufafanuzi wa kuleksi katika Kiswahili

kuleksi

nominoPlural kuleksi

  • 1

    aina ya mbu anayeambukiza matende.

  • 2

    kuleksi haambukizi malaria.

Asili

Kar

Matamshi

kuleksi

/kulɛksi/