Ufafanuzi msingi wa kuli katika Kiswahili

: kuli1kuli2

kuli1

kitenzi elekezi

Ufafanuzi msingi wa kuli katika Kiswahili

: kuli1kuli2

kuli2

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kupakia na kupakua shehena za meli, jahazi, n.k. bandarini au forodhani.

    mpakuzi, mpakizi

Asili

Kng

Matamshi

kuli

/kuli/