Ufafanuzi msingi wa kuliko katika Kiswahili

: kuliko1kuliko2

kuliko1

kielezi

 • 1

  kwenye.

  ‘Kuliko na ngoma ni wapi?’

Matamshi

kuliko

/kulikO/

Ufafanuzi msingi wa kuliko katika Kiswahili

: kuliko1kuliko2

kuliko2

kielezi

 • 1

  zaidi ya.

  ‘Mnazi ni mrefu kuliko mchungwa’
  kushinda

Matamshi

kuliko

/kulikO/