Ufafanuzi wa kumbaa katika Kiswahili

kumbaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kua kwa mashaka na kukosa kimo cha kawaida; kua kwa kuvia.

Matamshi

kumbaa

/kumba:/