Ufafanuzi msingi wa kumbana katika Kiswahili

: kumbana1kumbana2kumbana3

kumbana1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  sukumana kwa kupigana vikumbo.

  pambana

Matamshi

kumbana

/kumbana/

Ufafanuzi msingi wa kumbana katika Kiswahili

: kumbana1kumbana2kumbana3

kumbana2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  fikwa na jambo agh. baya.

  ‘Kumbana na matatizo’

Matamshi

kumbana

/kumbana/

Ufafanuzi msingi wa kumbana katika Kiswahili

: kumbana1kumbana2kumbana3

kumbana3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kutana bila kutarajia.

Matamshi

kumbana

/kumbana/