Ufafanuzi msingi wa kumbi katika Kiswahili

: kumbi1kumbi2

kumbi1

nominoPlural makumbi, Plural kumbi

  • 1

    ganda la nje la nazi ambalo ndani yake lina nyuzinyuzi.

Matamshi

kumbi

/kumbi/

Ufafanuzi msingi wa kumbi katika Kiswahili

: kumbi1kumbi2

kumbi2

nominoPlural makumbi, Plural kumbi

  • 1

    mahali wanapokaa watoto wa kiume waliotiwa jandoni.

  • 2

    banda wanalokaa wari wa kiume.

Matamshi

kumbi

/kumbi/