Ufafanuzi wa kumbikumbi katika Kiswahili

kumbikumbi

nominoPlural kumbikumbi

  • 1

    mchwa wanaoota mbawa ambao huonekana wakati wa mvua nyingi.

    ngumbi

Matamshi

kumbikumbi

/kumbikumbi/