Ufafanuzi msingi wa kumbo katika Kiswahili

: kumbo1kumbo2

kumbo1

nominoPlural makumbo

  • 1

    msukumo wa ghafla na wa nguvu, agh. kwa bega.

Matamshi

kumbo

/kumbO/

Ufafanuzi msingi wa kumbo katika Kiswahili

: kumbo1kumbo2

kumbo2

nominoPlural makumbo

  • 1

    utendaji au uchukuaji wa vitu au watu wengi kwa pamoja.

    ‘Walichukuliwa wote kumbo moja’

Matamshi

kumbo

/kumbO/