Ufafanuzi wa kumbukizi katika Kiswahili

kumbukizi

nomino

  • 1

    sherehe ya kumkumbuka mtu au watu maarufu au tukio lililofanyika zamani.

Matamshi

kumbukizi

/kumbukizi/