Ufafanuzi wa kumulasi katika Kiswahili

kumulasi

nominoPlural kumulasi

  • 1

    wingu zito kiasi, linalorundikana na mengine kuunda umbo la kuba au mviringo, lililo karibu na usawa wa bahari na hutupa vivuli ardhini.

Asili

Kng

Matamshi

kumulasi

/kumulasi/