Ufafanuzi wa kunde katika Kiswahili

kunde

nominoPlural kunde

  • 1

    aina ya mbegu jamii ya maharage, mbaazi na fiwi.

Matamshi

kunde

/kundɛ/