Ufafanuzi wa kundi katika Kiswahili

kundi, kikundi

nominoPlural makundi

  • 1

    mkusanyiko k.v. wa vitu, watu au wanyama.

  • 2

    pote, tapo, bamba.

    ‘Kundi la wataalamu’

Matamshi

kundi

/kundi/