Ufafanuzi msingi wa kungu katika Kiswahili

: kungu1kungu2

kungu1

nominoPlural kungu

  • 1

    tunda lenye maganda laini na ndani ya kokwa yake mna kiini kama lozi, lakini ndogo.

Matamshi

kungu

/kungu/

Ufafanuzi msingi wa kungu katika Kiswahili

: kungu1kungu2

kungu2

nominoPlural kungu

  • 1

    samaki wa jamii ya changu, wa rangi nyekundu.

Matamshi

kungu

/kungu/