Ufafanuzi wa kungumanga katika Kiswahili

kungumanga

nomino

  • 1

    tunda lenye ganda gumu la kahawia na kokwa inayofanana na karanga linalotumika kwa dawa au ulevi.

Matamshi

kungumanga

/kungumanga/