Ufafanuzi msingi wa kunguru katika Kiswahili

: kunguru1kunguru2

kunguru1

nominoPlural kunguru

  • 1

    ndege mkubwa mweusi au mwenye baka jeupe shingoni.

Matamshi

kunguru

/kunguru/

Ufafanuzi msingi wa kunguru katika Kiswahili

: kunguru1kunguru2

kunguru2

nominoPlural kunguru

  • 1

    kitambaa chenye michoro ya vyumba vyenye umbo la mraba.

Matamshi

kunguru

/kunguru/