Ufafanuzi wa kunjika katika Kiswahili

kunjika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa katika hali ya kupindanapindana.

Matamshi

kunjika

/kunjika/