Ufafanuzi wa kunjua katika Kiswahili

kunjua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~lisha, ~liwa

  • 1

    tandaza au nyosha kitu kilichokunjwa; kinyume cha kunja.

Matamshi

kunjua

/kunjuwa/