Ufafanuzi wa kunradhi! katika Kiswahili

kunradhi!, kumradhi!

kiingizi

  • 1

    tamko la kumwomba mtu haja au msamaha; niwie radhi.

    samahani!

Asili

Kar

Matamshi

kunradhi!

/kunraDi/