Ufafanuzi msingi wa kunuti katika Kiswahili

: kunuti1kunuti2

kunuti1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

Kidini
  • 1

    Kidini
    omba dua.

Matamshi

kunuti

/kunuti/

Ufafanuzi msingi wa kunuti katika Kiswahili

: kunuti1kunuti2

kunuti2

nominoPlural kunuti

Kidini
  • 1

    Kidini
    dua inayoombwa hasa katika sala ya Alfajiri.

Matamshi

kunuti

/kunuti/