Ufafanuzi wa kunyaa katika Kiswahili

kunyaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~isha

  • 1

    kauka na jikunja, hususan kwa jani au ngozi.

    ‘Uso wake ulikunyaa na kuwa na mistari ya uchovu’

Matamshi

kunyaa

/ku3a:/