Ufafanuzi wa kunyanzi katika Kiswahili

kunyanzi

nominoPlural makunyanzi

  • 1

    mkunjo wa ngozi kwenye uso k.v. mtu anapokuwa mzee.

Matamshi

kunyanzi

/ku3anzi/