Ufafanuzi msingi wa kunyua katika Kiswahili

: kunyua1kunyua2kunyua3

kunyua1

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  sugua kwa nguvu kwenye ngozi mpaka ichunike.

  chubua

Matamshi

kunyua

/ku3uwa/

Ufafanuzi msingi wa kunyua katika Kiswahili

: kunyua1kunyua2kunyua3

kunyua2

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  mega kwa meno.

Matamshi

kunyua

/ku3uwa/

Ufafanuzi msingi wa kunyua katika Kiswahili

: kunyua1kunyua2kunyua3

kunyua3

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

 • 1

  ita kwa siri au julisha mtu kwa siri.

Matamshi

kunyua

/ku3uwa/