Ufafanuzi msingi wa kupa katika Kiswahili

: kupa1kupa2

kupa1

nominoPlural makupa

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    upande mmoja wa roda.

Asili

Kar

Matamshi

kupa

/kupa/

Ufafanuzi msingi wa kupa katika Kiswahili

: kupa1kupa2

kupa2

nominoPlural makupa

  • 1

    muwaa uliokaushwa na kutumika kwa kuezekea nyumba.

    ‘Nyumba ya makupa’

Matamshi

kupa

/kupa/