Ufafanuzi wa kupe katika Kiswahili

kupe

nominoPlural kupe

  • 1

    mdudu mdogo ambaye huganda kwenye miili ya wanyama na kuwafyonza damu, agh. huambukiza magonjwa.

  • 2

    mtu anayepata mapato bila ya kutumia jasho lake; mtu mwenye nguvu asiyefanya kazi bali hutegemea wengine kwa kuishi.

Matamshi

kupe

/kupɛ/