Ufafanuzi msingi wa kupua katika Kiswahili

: kupua1kupua2kupua3kupua4

kupua1

kitenzi elekezi

 • 1

  ondoa kwa nguvu.

  ng’oa

Matamshi

kupua

/kupuwa/

Ufafanuzi msingi wa kupua katika Kiswahili

: kupua1kupua2kupua3kupua4

kupua2

kitenzi elekezi

Matamshi

kupua

/kupuwa/

Ufafanuzi msingi wa kupua katika Kiswahili

: kupua1kupua2kupua3kupua4

kupua3

kitenzi elekezi

 • 1

  piga k.v. kwa fimbo.

Matamshi

kupua

/kupuwa/

Ufafanuzi msingi wa kupua katika Kiswahili

: kupua1kupua2kupua3kupua4

kupua4

kitenzi elekezi

 • 1

  nyang’anya kwa ghafla.

Matamshi

kupua

/kupuwa/