Ufafanuzi wa kupuu katika Kiswahili

kupuu

nominoPlural kupuu

  • 1

    harufu ya mtu ambaye hajaoga siku nyingi wala kufua nguo zake.

Matamshi

kupuu

/kupu:/