Ufafanuzi wa kura katika Kiswahili

kura

nominoPlural kura

  • 1

    uchaguzi unaofanywa wa kupata mtu au watu miongoni mwa watu kadhaa ili kushika nafasi fulani.

Asili

Kar

Matamshi

kura

/kura/