Ufafanuzi msingi wa kuro katika Kiswahili

: kuro1kuro2

kuro1

nominoPlural kuro

  • 1

    mnyama wa porini anayefanana na kulungu au ndama wa ng’ombe, mwenye pembe na ngozi ngumu sana itumiwayo kuwambia ngoma.

Matamshi

kuro

/kurO/

Ufafanuzi msingi wa kuro katika Kiswahili

: kuro1kuro2

kuro2

nominoPlural kuro

  • 1

    ngoma kubwa inayosimama kwa miguu mitatu na iliyowambwa kwa ngozi ya mnyama aitwaye kuro.

    kumbwaya

Matamshi

kuro

/kurO/