Ufafanuzi msingi wa kuru katika Kiswahili

: kuru1kuru2

kuru1

nominoPlural kuru

  • 1

    mviringo mfano wa mzinga usio na uwazi.

Asili

Kar

Matamshi

kuru

/kuru/

Ufafanuzi msingi wa kuru katika Kiswahili

: kuru1kuru2

kuru2

nominoPlural kuru

kizamani
  • 1

    kizamani upande unaoonyesha picha ya mizani katika pesa ya zamani ya Zanzibari.

Asili

Kar

Matamshi

kuru

/kuru/