Ufafanuzi wa kurumbiza katika Kiswahili

kurumbiza, kurumbizi

nominoPlural kurumbiza

  • 1

    ndege mdogo mwenye kichwa cheusi, mgongo na mbawa za kahawia, rangi ya manjano iliyoiva kifuani na tumboni.

  • 2

    ana sauti nzuri.

Matamshi

kurumbiza

/kurumbiza/