Ufafanuzi wa kurunzi katika Kiswahili

kurunzi

nominoPlural kurunzi

  • 1

    taa kubwa ya kuangazia usiku.

  • 2

    tochi ya umeme au ya mkononi.

    tochi

Asili

Kar

Matamshi

kurunzi

/kurunzi/