Ufafanuzi wa kurupuka katika Kiswahili

kurupuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ondoka ghafla baada ya kushtuliwa.

    bumburuka, vumburuka

Matamshi

kurupuka

/kurupuka/