Ufafanuzi wa kusini katika Kiswahili

kusini

nominoPlural kusini

  • 1

    upande wa dira unakoelekea mkono wa kulia wakati ukitazama jua linapochomoza.

Matamshi

kusini

/kusini/