Ufafanuzi msingi wa kusudi katika Kiswahili

: kusudi1kusudi2

kusudi1

kielezi

 • 1

  kwa kutia nia; kwa kuazimia; bila ya kutokea kwa ajali au kwa bahati mbaya.

  ‘Amenipiga kumbo kusudi’

 • 2

  kwa ajili; ili.

  ‘Anasoma kusudi apate elimu’

Asili

Kar

Matamshi

kusudi

/kusudi/

Ufafanuzi msingi wa kusudi katika Kiswahili

: kusudi1kusudi2

kusudi2

nominoPlural makusudi

 • 1

  kasidi, maarubu, madhumuni

Matamshi

kusudi

/kusudi/