Ufafanuzi msingi wa kusuru katika Kiswahili

: kusuru1kusuru2

kusuru1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    jinyima nafsi ili upate mradi wako; jilazimisha kwa taabu; fanikiwa kwa shida au ugumu.

Asili

Kar

Matamshi

kusuru

/kusuru/

Ufafanuzi msingi wa kusuru katika Kiswahili

: kusuru1kusuru2

kusuru2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

Kidini
  • 1

    Kidini
    fupisha k.v. sala k.m. Mwislamu anaposafiri huweza kuchanganya sala mbili pamoja au kupunguza rakaa za baadhi ya sala.

Asili

Kar

Matamshi

kusuru

/kusuru/