Ufafanuzi msingi wa kuta katika Kiswahili

: kuta1kuta2

kuta1

kitenzi elekezi

  • 1

    ona mtu au kitu ufikapo mahali fulani.

    dirika, kusa

Matamshi

kuta

/kuta/

Ufafanuzi msingi wa kuta katika Kiswahili

: kuta1kuta2

kuta2

kitenzi elekezi

  • 1

    puliza kwa nguvu kitu k.v. tarumbeta.

Matamshi

kuta

/kuta/