Ufafanuzi wa kutuzi katika Kiswahili

kutuzi

nominoPlural kutuzi

  • 1

    harufu mbaya ya jasho la mtu kama ile inayotoka kwapani.

  • 2

    harufu ya mnyama.

Matamshi

kutuzi

/kutuzi/