Ufafanuzi msingi wa kuu katika Kiswahili

: kuu1kuu2

kuu1

kivumishi

  • 1

    kubwa agh. kwa cheo, mamlaka au heshima.

  • 2

    -enye cheo kikubwa; -enye hadhi.

Matamshi

kuu

/ku:/

Ufafanuzi msingi wa kuu katika Kiswahili

: kuu1kuu2

kuu2

nominoPlural kuu

  • 1

    nyumba inayoanzwa kwa kete nyingi zaidi katika mchezo wa bao.

Matamshi

kuu

/ku:/