Ufafanuzi wa kuumeni katika Kiswahili

kuumeni

kielezi

  • 1

    ukoo anaotoka mwanamume.

    ‘Upande wa kuumeni umekamilisha maandalizi ya harusi’

Matamshi

kuumeni

/ku:mɛni/