Ufafanuzi msingi wa kuza katika Kiswahili

: kuza1kuza2kuza3

kuza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  fanya kitu kionekane kikubwa.

  ‘Darubini hukuza vitu vidogo vikaonekana kwa macho’
  vuvumua

Matamshi

kuza

/kuza/

Ufafanuzi msingi wa kuza katika Kiswahili

: kuza1kuza2kuza3

kuza2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tia chumvi jambo dogo na kulifanya kubwa.

  ‘Usipende kukuza sana mambo’

Matamshi

kuza

/kuza/

Ufafanuzi msingi wa kuza katika Kiswahili

: kuza1kuza2kuza3

kuza3

kivumishi

 • 1

  -enye kuongeza au kuzidisha sehemu ya mwili, umbo, ukubwa, maumbile, urefu au kimo.

Matamshi

kuza

/kuza/