Ufafanuzi wa kuzimu katika Kiswahili

kuzimu

nominoPlural kuzimu

  • 1

    mahali panapoaminika kuwa zinakwenda roho za watu wakifa.

    ahera

  • 2

    mahali panapoaminika kuwa hukaa mizimu.

Matamshi

kuzimu

/kuzimu/