Ufafanuzi wa kwaheri! katika Kiswahili

kwaheri!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuagana na kumtakia mtu heri na salama.

Matamshi

kwaheri!

/kwahɛri/