Ufafanuzi wa kwama katika Kiswahili

kwama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  shindwa kupita katika tundu.

  sakama, nasa, saki

 • 2

  shindwa kuendelea k.v. gari linapoingia katika matope mengi.

  data, gota, nasa

 • 3

  shindwa kufaulu katika jambo.

Matamshi

kwama

/kwama/