Ufafanuzi wa kwamisha katika Kiswahili

kwamisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia kipingamizi ili jambo lisifanyike.

    zuia

Matamshi

kwamisha

/kwamiʃa/