Ufafanuzi wa kwanza katika Kiswahili

kwanza

kielezi

 • 1

  -a kutangulia; -a awali; -a mwanzo.

  ‘Huyu ni mtoto wake wa kwanza’

 • 2

  sasa hivi; hivi punde.

  ‘Ndio kwanza amelala’

 • 3

  ya mwanzo.

  ‘Kwanza soma kitabu hiki’
  awali

Matamshi

kwanza

/kwanza/