Ufafanuzi wa kwapa katika Kiswahili

kwapa

nominoPlural kwapa

  • 1

    sehemu ya mkono iliyo chini ya bega.

Matamshi

kwapa

/kwapa/