Ufafanuzi wa kwapua katika Kiswahili

kwapua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    iba kwa kunyang’anya.

    iba, pokonya

Matamshi

kwapua

/kwapuwa/