Ufafanuzi wa kwato katika Kiswahili

kwato

nomino

  • 1

    sehemu ngumu ya chini ya mguu wa mnyama k.v. ng’ombe, kondoo au mbuzi.

Matamshi

kwato

/kwatO/